kama unahitaji unania ya kutaka kupata msingi (basic) kuchora kwa komputa, ramani za nyumba, barabara , gardens degsine kwa software za Autocad, Revert nArchtectural , Archocad n.k darasa karibu linafunguliwa. mjini sumbawanga kwa wanao hitaji njoo tuzungumze.
 |
MPANGILIO WA BOMBA ZA MAJI NA PUMP ZAKE |
 |
MPANGILIO WA MADARASA WA KISASA |
mashariti mengine ya darasa hili ni kwamba :-
- uwe unaujuzi wa komputa
- umesoma kuanzia form four na kuendelea
- ujue hesabu
uwe na komputa yako
kama utakuwa unatingwa sana na kazi za kawaida darasa linaweza kuwa linaendeshwa usiku namanisha kuanzia muda wa sa 11 jioni, mara baada ya kuwa tume jipanga vizuri tutakuwa na projector ili kutumia muda kidogo tuwe tumemaliza program.