tangazo

Thursday, 16 April 2015

Nikujulishe

kama unahitaji unania ya kutaka kupata msingi (basic) kuchora kwa komputa, ramani za nyumba, barabara , gardens degsine kwa software za Autocad, Revert nArchtectural , Archocad n.k darasa karibu linafunguliwa. mjini sumbawanga kwa wanao hitaji njoo tuzungumze.
MPANGILIO WA BOMBA ZA MAJI NA PUMP ZAKE 
MPANGILIO WA MADARASA WA KISASA 
mashariti mengine ya darasa hili ni kwamba :-
  • uwe unaujuzi wa komputa 
  • umesoma kuanzia form four na kuendelea 
  • ujue hesabu 
uwe na komputa yako 

kama utakuwa unatingwa sana na kazi za kawaida darasa linaweza kuwa linaendeshwa usiku namanisha kuanzia muda wa sa 11 jioni, mara baada ya kuwa tume jipanga vizuri tutakuwa na projector ili kutumia muda kidogo tuwe tumemaliza program.


Thursday, 9 April 2015

kizwite secondary complex resdential bulding inakuja sasa

information of our customers! I would like to inform and urge those customers willing suspension of their work incomplete for some time, this is because the potential outside of the office. About 3 weeks since getting a high school project Kizwite consisting of five buildings food hall, Hostel, cooking stoves students, building computer labs, offices have made these maktaba.majengo be busy, but for now will continue to work as usual for buildings these have been completed already. 
yaangalie mwonekano wake hayo majengo 
aidha napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Headmaster,na mwalimu wa miradi Mwl Siwango (mwalimu wa miradi ) bila kusahau timu yangu ya chorakwanza studio 
Eng. Regnard  kushoto ,Eng Majid (katikati ) kulia ni Mwasibu (Anitha)
kila la kheri wasomaji na wateja wetu kwa simu 0757230097

Thursday, 15 January 2015

Thursday, 13 November 2014

welcom Drawing and Designing studio

kama unae ndugu au jamaa anahitaji kuchora ramani na kupitishiwa ardhi kwa uharaka karibu ofisi yetu ya Drawing and Designing studio. tunachora ramani kwa kutumia modern architectural software pia tunatoa kozi kwa mtu unaetaka kujua kuchora kwa kutumia Revert programs na Arch cad   na autocard kama  unataka. kuchora na kufundindishwa bei ni maelewano. pia kama unahitaji ushauri wa ujenzi na marekebisho ya nymba yako karibu sana
tunapatikana maeneo ya sumbwanga sekondari
baadhi ya michoro inaayochorwa 


hii ndio Drawing studio karibuni sana kushoto ni Eng . Regnard silanga Kulia ni Ms Anitha Gakwasi (Mwasibu )






Wednesday, 5 November 2014

fursa fursa

kama upo mkoa wa Rukwa hususani Sumbawanga mjini, karibu tujenge kijiwe cha ufundi usanifu tusaidie jamii inayotuzunguka hasa wale waliopata elimu ya ufundi usanifu lakini hawana mawazo nini cha kufanya. unajua si kila mtu amezaliwa anajua lahasha na si kila mtua amezaliwa na pesa , sasa kwanini mwenzako ahangaike wakati kazi zipo bhana ,tuapate sehemu ya kukutana tujadili nini tufanye tuikomboe jamii, piga simu 0757230097
Naitwa Eng Regnard Silanga Kushoto ,Yash Thak center Haydra operator ,Eng Nassoro (concrete Mater)