tangazo

Thursday, 13 November 2014

welcom Drawing and Designing studio

kama unae ndugu au jamaa anahitaji kuchora ramani na kupitishiwa ardhi kwa uharaka karibu ofisi yetu ya Drawing and Designing studio. tunachora ramani kwa kutumia modern architectural software pia tunatoa kozi kwa mtu unaetaka kujua kuchora kwa kutumia Revert programs na Arch cad   na autocard kama  unataka. kuchora na kufundindishwa bei ni maelewano. pia kama unahitaji ushauri wa ujenzi na marekebisho ya nymba yako karibu sana
tunapatikana maeneo ya sumbwanga sekondari
baadhi ya michoro inaayochorwa 


hii ndio Drawing studio karibuni sana kushoto ni Eng . Regnard silanga Kulia ni Ms Anitha Gakwasi (Mwasibu )






Wednesday, 5 November 2014

fursa fursa

kama upo mkoa wa Rukwa hususani Sumbawanga mjini, karibu tujenge kijiwe cha ufundi usanifu tusaidie jamii inayotuzunguka hasa wale waliopata elimu ya ufundi usanifu lakini hawana mawazo nini cha kufanya. unajua si kila mtu amezaliwa anajua lahasha na si kila mtua amezaliwa na pesa , sasa kwanini mwenzako ahangaike wakati kazi zipo bhana ,tuapate sehemu ya kukutana tujadili nini tufanye tuikomboe jamii, piga simu 0757230097
Naitwa Eng Regnard Silanga Kushoto ,Yash Thak center Haydra operator ,Eng Nassoro (concrete Mater)